HOW TO REGISTER FOR THE CHEMICAL PERMIT IN GCLA
HOW TO REGISTER FOR THE CHEMICAL PERMIT IN GCLA
Go to the following link https://ccmp.gcla.go.tz/
Document required;
1. Contingency plan
2 Introduction letter from the company
3. Driver Chemical Management Training certificate
4. Academic Qualification attachment in science courses
5. Certificate of incorporation
6. Business license
7. Tin certificate
For more information please contact
0744-728929
info@tatoa.co.tz
JINSI YA KUJISAJILI NA KUPATA CHETI CHA MKEMIA MKUU
Tumia tovuti ifuatayo https://ccmp.gcla.go.tz/
Hati zinazohitajika kwa ajili ya usajili
1. Mpango wa dharura wa kampuni
2. Barua ya utambulisho ya kampuni
3. cheti cha mafunzo cha madereva kutoka kwa mkemia mkuu
4. cheti cha taaluma katika masomo ya sayasi.
5. cheti cha usajili cha kampuni (certifícate of incoporation)
6. cheti cha biashara cha kampuni (business licence)
7. Cheti cha Tin
Kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kupitia
0744-728929
info@tatoa.co.tz
